kumbe shamba kuwa karibu na wamarekani na wapakistani inaongeza value?mie ninayo nyumba iko karibu na waganda,nadhani pia value yake itaongezeka....................samahani lakini. Mie nina mpango mkulima hapo baadaye,bado najipanga,kila la kheri.wadau,
kwa yeyote anayehitaji shamba kwaajili ya matumizi mbalimbali kama kupanda miti au matunda nk. Shamba lipo sehemu nzuri lina ukubwa wa eka 650 na lina rutuba nzuri bei kwa eka ni sh 100,000.
Maelewano yapo. Eneo lipo jirani na walipo nunua watu wa marekani na wapakistani. Anaye hitaji tuwasiliane kwa namba 0757003302 nyote mnakaribishwa.
Wadau,
Kwa yeyote anayehitaji shamba kwaajili ya matumizi mbalimbali kama kupanda miti au matunda nk. Shamba lipo sehemu nzuri lina ukubwa wa eka 650 na lina rutuba nzuri bei kwa eka ni sh 100,000.
Maelewano yapo. Eneo lipo jirani na walipo nunua watu wa marekani na wapakistani. Anaye hitaji tuwasiliane kwa namba 0757003302 nyote mnakaribishwa.
Muvyulu sio kiwanda bna. Ila hongera unajarib kufatilia mambo... Factory pale ni ikanga na lupembe.Mkuu mbali ya miti na chai ni mazao gani mengine yanastawi eneo hilo ukizingatia Lupembe ni nchi ya mabonde na miinuko, shamba liko karibu na kiwanda cha chai chenye mgogoro (MUVULU)?.
Unauza kuanzia ekari ngapi mkuuWadau,
Kwa yeyote anayehitaji shamba kwaajili ya matumizi mbalimbali kama kupanda miti au matunda nk. Shamba lipo sehemu nzuri lina ukubwa wa eka 650 na lina rutuba nzuri bei kwa eka ni sh 100,000.
Maelewano yapo. Eneo lipo jirani na walipo nunua watu wa marekani na wapakistani. Anaye hitaji tuwasiliane kwa namba 0757003302 nyote mnakaribishwa.
Samahani mkuu, kilimo cha mpunga au mahindi kinakubali hayo maeneo?Shamba kubwa linauzwa lipo Lupembe Njombe Tanzania linaukubwa wa ekari 1000 bei (150,000) laki moja na nusu kwa ekari. Eneo linakubalika kwa matumizi ya kilimo cha aina yoyote na ni tambalale. mawasiliano 0757003302.
mbona ueleweki Mara ekari 650 mara 1000, Mara 100000@kwa ekari Mara 150000, kipi ni kipi?Shamba kubwa linauzwa lipo Lupembe Njombe Tanzania linaukubwa wa ekari 1000 bei (150,000) laki moja na nusu kwa ekari. Eneo linakubalika kwa matumizi ya kilimo cha aina yoyote na ni tambalale. mawasiliano 0757003302.
Mkuu umenikumbusha mbali sana ikanga nimepga kazi kitengo cha packingMuvyulu sio kiwanda bna. Ila hongera unajarib kufatilia mambo... Factory pale ni ikanga na lupembe.