Ardhi ya Ngerengere inafaa kwa kilimo gani mkuu na shamba lako limepimwa au ni shamba la kienyeji na kutoka bara barani hadi shamba kuna umbali gani na je kunapitikaShamba linauzwa lipo Morogoro, limepakana na mto Ngerengere, lina ukubwa wa ekari 500, lina miti ya asili na miti michache ya kupandwa, limepimwa na lina hati, nauza kuanzia eka 1 kwa sh. laki mbili (200,000), mazungumzo yapo kama unataka shamba zima, kwa yeyote aliye siriaz tuwasiliane kwa no 0652111118.
Shamba linauzwa lipo Morogoro, limepakana na mto Ngerengere, lina ukubwa wa ekari 500, lina miti ya asili na miti michache ya kupandwa, limepimwa na lina hati, nauza kuanzia eka 1 kwa sh. laki mbili (200,000), mazungumzo yapo kama unataka shamba zima, kwa yeyote aliye siriaz tuwasiliane kwa no 0652111118.
namboa uni pm namba zakoo zoote na email kama unatumiaHebu ni-PM kuweza kufahamu zaidi:-
- Umbali kutoka barabara kuu (Dar-Moro)
- Accessibility (shamba linafikika kwa urahisi?)
- Ardhi: Ja ardhi y ahuko inafaa kilimo gani?