clemence JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 594 Reaction score 212 Apr 5, 2016 #1 Shamba la ekari tatu linauzwa lipo Kidai Mlandizi, bei ni million tisa halina mazao.
Step by step JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 1,189 Reaction score 1,324 Apr 5, 2016 #2 ulipaswa kutoa sifa za hilo shamba mfano liko karbu na barabara au nguzo za umeme na vitu kama ivo kushawishi. Anyway ndo kule kwa wamasai au?limepimwa?linafaa kwa nini? Maji yanapatikana kule? Ikiwezekana namba yako
ulipaswa kutoa sifa za hilo shamba mfano liko karbu na barabara au nguzo za umeme na vitu kama ivo kushawishi. Anyway ndo kule kwa wamasai au?limepimwa?linafaa kwa nini? Maji yanapatikana kule? Ikiwezekana namba yako