gilishiphilomena
Member
- Feb 11, 2019
- 32
- 40
Sasa mbona hujaweka number za simu?Shamba heka 22 naziuza zipo km 8 kutoka barabarani iendayo mtwara na km 100 kutoka mbagala , lipo Mkuranga kijiji cha miteza , Shamba halijawahi kulimwa. Maji yapo karibu. Lina hati ya kijiji, kila heka shilingi laki nane, Sina Dalali. Atakayependezewa namba zangu ni 0752363857.View attachment 1084160View attachment 1084162
Samahani account yangu ya kwanza ilipata matatizo, namba ya simu iko hapo na hapo kwenye tangazo langu nilisahau kuandika kama hilo shamba lina mto kwa pembeni ambao haukauki.karibu sana mkuuSasa mbona hujaweka number za simu?
Nilishawahi kulisafisha lakini sikupanda chochoteHaujawahi kulilima kwahiyo unauza pori!!!
Acha uongo..laki 8 (800,000×22)=17,600,000.yani milion 17 na laki 6..duhhhhhhhh 176M
Yaani ninunue shamba kijijini alafu pori, 176M, siwezi kabisaAcha uongo..laki 8 (800,000×22)=17,600,000.yani milion 17 na laki 6..
Asante ndugu kuna watu wanajua kukurupuka. Na hiyo ni bei ya kuanzia inashuka tukiwa shambani mazungumzo yapo.Acha uongo..laki 8 (800,000×22)=17,600,000.yani milion 17 na laki 6..
2800 na SASA Niko njiani naenda huko, kuna mto mbogamboga zinastawi,ufuta,mahindi,mpunga,nyanya, mazao ya jamii ya mikunde,mihogo,viazi,Nauli kutoka Mbagala mpaka shamba bei gani?? Na ni mazao gani yanastawi huko??
Kanunue posta,kwanza siuzi kwa bei hiyo maybe hiyo pamoja na wewe mwenyeweYaani ninunue shamba kijijini alafu pori, 176M, siwezi kabisa
Kanunue posta,kwanza siuzi kwa bei hiyo maybe hiyo pamoja na wewe mweYaani ninunue shamba kijijini alafu pori, 176M, siwezi kabisa
ata kama ndo uuze 176MKanunue posta,kwanza siuzi kwa bei hiyo maybe hiyo pamoja na wewe mwenyewe
Hiyo bei umeitaja wewe,mimi siyo bei yangu niliyoiandika, na nina imani Mwalimu wako WA hesabu akiona mwanafunzi wake unafail hesabu ndogo kama hii ya pili 800000 × 22= ukapata 176,000,000 nina uwakika mwalimu wako anaweza kujiua kwa hasira. Tulia piga hesabu vizuri halafu ndiyo uje kulalamikaata kama ndo uuze 176M