Shamba linauzwa kiwangwa

Shamba linauzwa kiwangwa

zilakina

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2011
Posts
293
Reaction score
77
Nauza shamba lipo katikati ya kiwangwa na wami ni km10 kutoka kiwangwa mjini.Lina ukubwa wa heka 50 na ninauza 1M kwa heka,nauza kuanzia heka 10 hadi heka 50.Linafaa kwa kilimo cha mahindi na ufuta.karibuni sana.Hamna udalali.
 
Km 10 kuingia ndani kutoka barabara kuu??
 
Nauza shamba lipo katikati ya kiwangwa na wami ni km10 kutoka kiwangwa mjini.Lina ukubwa wa heka 50 na ninauza 1M kwa heka,nauza kuanzia heka 10 hadi heka 50.Linafaa kwa kilimo cha mahindi na ufuta.karibuni sana.Hamna udalali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom