Shamba linauzwa Kigamboni

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2009
Posts
7,420
Reaction score
4,034
Nauza shamba eka 3 mbele ya kibada (mwera) karibu na kinapojengwa chuo cha VETA. 30m prospective investors are invited, call 065936359
 
Kwa wanaotaka eka 6m wapige namba hii 0784471195
 
Du kuna jirani hapa kakataa cash kiwanja kitupu 50m, mkuu Janjaweed usinune hiyo ndo hali halisi ya huku, nakuuzia kipande 6m kesho unauza 10m
 
Sio mwera ya gezaulole. Ni km 4 tu kutoka Kibada stand, mara tu baada ya kumaliza eneo la mradi wa kibada
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…