Shamba linauzwa Iringa

imeldaB

Member
Joined
Aug 23, 2019
Posts
39
Reaction score
68
Lipo eneo linaitwa igingilanyi. Eneo zuri kwa ufugaji na kilimo. Ukubwa wa shamba ni hekari 2.2 nyumba ya kijana ipo, kisima cha maji na bwawa la samaki ambalo linaweza kutumika kama msingi wa kujengea banda la kuku, nguruwe au kingine.

Barabara inafika mpaka shambani. Bei ni 10mil maelewano yapo. Kwa mawasiliano 0767086755, ongea na mmiliki moja kwa moja.
 
Karibu maboss zangu mjipatie shamba
 
Shamba bado lipo jamani! Karibuni tufanye biashara
 
Elezea vizuri mahali eneo lilipo..wilaya gani
 
Lina zile hati za mauziano toka serikali ya kijiji tu bosi wangu
 
Elezea vizuri mahali eneo lilipo..wilaya gani
Lipo iringa barabara ya kuelekea Dodoma. Umbali wa km 20 toka iringa mjini. Na umbali wa km 1.5 toka barabara ya lami. Karibu bosi wangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…