yahayabaidu
Member
- Nov 1, 2014
- 17
- 5
Shamba lenye minazi pamoja na mikorosho linauzwa. Lipo wilayani Mkuranga katika kijiji kiitwacho Magoza. Ni tambarare na ni eneo la mchanga mweupe. Bei maelewano. Pia halipo mbali na barabara ya magari na gari inafika mpaka shambani.
Kwa anayehitaji, wasiliana nami kwa namba: 0653-61-57-29 au 0682-835-945.
Kwa anayehitaji, wasiliana nami kwa namba: 0653-61-57-29 au 0682-835-945.