Shamba linauzwa bei poa

Ipi dot com

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
306
Reaction score
166
Lipo kisarawe kijiji cha kifuru station ekari 5 m 2 tu lipo kiharali kabisaa
 
mkuu lina mazo hilo shamba ama ni poli tu, ni umbali gani toka barabara kuu, urahisis wake wa kutoka barabara kuu kufika kwenye shamba?
 
mkuu lina mazo hilo shamba ama ni poli tu, ni umbali gani toka barabara kuu, urahisis wake wa kutoka barabara kuu kufika kwenye shamba?

km 33 toka banana na gari yoyote inafika na ni mita 300 toka barabarani, nilishawahi lima mara moja mkuu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…