hizo shule alizo zisema wana soma wakazi wa wapi au zita vujwaa... au watu hawata ruhusuwa kukaa karibu na mashule na mavyuo... uoga wako ndio umasikini wako... chukua maeneo hayo kama una pesa... soma vizuri maelezo yake ndipo ujenge hoja iliyo simama...
kama IFM wakija jenga chuo wewe uoni utajenga Hostel??? au fursa nyinyi mna zichukuliaje...?? hacheni kutishana