Shamba linauzwa 2 heka -mwasonga kigamboni

Joined
Jan 13, 2011
Posts
22
Reaction score
0
Shamba linauzwa kigamboni mbele ya KIBADA.after dar es salaam zoo
Ndugu wana JF ,shamba la ukubwa wa ekali 2 linauzwa kigamboni mbele ya kibada ,maeneo ya MWASONGa.Gari linafika mpaka shambani kabisa.after Dar es salaam zoo.Bei nafuu kabisa,

KWA YEYOTE MWENYE NIA NA AMBAYE YUPO SERIOUS PLS WASILIANA NA namba hii

0682124124

M.fungafunga

bei nafuu ndio nini?? au zile za shimbo? weka amount wacha biashara za kizamani
 
Tatizo ni kwenye bei nafuu sijui ndio nini. Taja bei watu wachemke na biashara hiyo unaficha nini au sio mali yako unataka cha juu!!!
 
Huko kama hakujapimwa basi kutapimwa hivi karibuni,
Wacha kuwauzia watu kesi wewe
 
Wakuu kwani nini maan ya kuweka hiyo namba yangu hapo ???acheni siasa ,mwenye kutaka awasiliane na mimi through that number.
 
Siku nyingine usilete biashara za aina hiyo kwa watu makini, kama hauweki bei unatangaza hiyo biashara ya nini?
 
Kwanini mtu aingie gharama za kukupigia simu wakati waweza andika bei? Na mwenye kutaka negotiations zaidi ndo akupigie simu? Wacha longolongo!
 
ni milion mia mbili tu.....................200,000,000

napita tu ila ni utabiri wa vijisenti tu
 
Haya wakubwa ,heka 4 ndo zimebaki so far , ni 2.5 m kwa heka ,mwenye nia anaweza akaongea ,

Poleni na swahumu

Regards
m.funga funga
 
Shamba linauzwa kigamboni mbele ya KIBADA.after dar es salaam zoo
Ndugu wana JF ,shamba la ukubwa wa ekali 2 linauzwa kigamboni mbele ya kibada ,maeneo ya MWASONGa.Gari linafika mpaka shambani kabisa.after Dar es salaam zoo.Bei nafuu kabisa,

KWA YEYOTE MWENYE NIA NA AMBAYE YUPO SERIOUS PLS WASILIANA NA namba hii

0682124124

M.fungafunga

Haya wakubwa ,heka 4 ndo zimebaki so far , ni 2.5 m kwa heka ,mwenye nia anaweza akaongea ,

Poleni na swahumu

Regards
m.funga funga

sasa naona unachanganya habari au unaongeza chumvi
 
hamna chumvi wala sukari,wewe kama unataka kufurahisha jamii poa ,but am doing b'ness hapa,zilikuwa 10 heka ,zimeuzwa 6 ,mbili kuna mtu alitaka zisiuzwe atakuja ,muda umepita zimerudishwa ktk soko ,sasa ni 4 heka zipo ,siasa hipo wapi.?wewe ni senoir member kweli au junior???

M.funga funga
 
this is panic and mimicking
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom