Njoo nkuuzie langu heka 9 Kigambon dege maghorofaninikitaka kulinunua ni kiasi gani
Hiyo kigamboni soko kuu ndo wapi hukoShamba lenye hekari 4 linakodishwa eneo liliopo ni Kigamboni karibu na soko kuu. Bei ni nafuu na maelewano ni pm.
Shamba lenye hekari 4 linakodishwa eneo liliopo ni Kigamboni karibu na soko kuu. Bei ni nafuu na maelewano ni pm.
Shamba liko TUNGI SONGANI..... Krbu kuna zahanati kubwa soko kubwa na stendi ya mabasiMkuu sijapata picha bado kuhusu hilo eneo la KIGAMBONI KARIBU NA SOKO KUU. kwa ninavyoijua kigamboni Sokoni ni pale Ferry na limezungukwa na maduka sasa wewe hapo ni wapi au mji gani au nchi gani????
Mkuu hapo umefafanua vizuriShamba liko TUNGI SONGANI..... Krbu kuna zahanati kubwa soko kubwa na stendi ya mabasi