Chebbyy
Member
- May 21, 2017
- 19
- 6
Shamba lililopimwa lipo bagamoyo, ukivuka daraja linalotenganisha bunju na bagamoyo upande wa kushoto uelekeo wa bagamoyo, umbali ni kilometa 7 kutoka bagamoyo road kwenda shambani yaani kutokea baobab sekondari hadi shambani.
Shamba lenyewe lipo kata ya saangani sehemu inaitwa kidimu, shamba lina jumla ya hekari 8 zilizopimwa zote, na linauzwa kwa hekari na sio kwa kiwanja kimoja moja, na pia kuna huduma za msingi kama vile maji, hospitali, umeme na mengineyo, yani ni mji tayar na kuna wakazi wengi tuu.
Hekari 1 bei 10 million maongezi yapo kidogo Kama upo serious Please
Call/Sms 0713706675