merere denis
Member
- Aug 24, 2011
- 9
- 1
Msata ipo mbinguni siku izi??Hilo litakuwa mbinguni maana lingekuwa bongo ungesema mkoa lilipo
NaotaLaki tano...ww unaota
Usiwe mvivu kusoma. Ushaambiwa shamba liko msata .....Hilo litakuwa mbinguni maana lingekuwa bongo ungesema mkoa lilipo
Naona jamaa kaandika kimombo, na wewe ndiyo hivyo kinakupiga chenga, poleeHilo litakuwa mbinguni maana lingekuwa bongo ungesema mkoa lilipo
Sio kila Mtu anaijua Msata,Msata ipo mbinguni siku izi??
Hilo litakuwa mbinguni maana lingekuwa bongo ungesema mkoa lilipo
Shamba lina hati milikiTuwe makini eneo kubwa hapo limeshauzwa kwa institution mbalimbali. Tunaomba uhakika wa hilo na bei.
Shamba lina hati milikiUsije ukawa umeenda kuvamia pori ukaanza kuuza
Shamba lina hati miliki
Kuna taratibu ambazo zinafuatwaMkuu shamba Lina hati miliki na unakata eke moja moja je hati itabaki kwa nani au kila eka inahati yake?