Shamba lenye parachichi zilizozaa vizuri linauzwa
Lipo ktk Kijiji Cha wanginyi,kata ya matembwe mkoani njombe
Umbali kutoka barabara kuu ya njombe -lupembe ni mita 100
Lina ukubwa wa eka moja na nusu
Bei ni tsh milioni 9
Parachichi zimeota vizuri hakuna iliyokufa
Na lipo jirani na maji
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0711605570 au 0764426929