Lipo Kijiji Cha yakobi
Katika halmashauri ya mji njombe
Mkoani njombe
Lipo barabara kuu ya lami ya njombe-songea
Kutoka bararani mpaka shambani ni umbali wa mita 850
Parachichi zina umri wa miaka 3
Ukubwa wa shamba ni eka 5
Bei ni tsh milion 20
Maji yapo karibu
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0711605570 au 0764426929
View attachment 2352693View attachment 2352696View attachment 2352697View attachment 2352699