wolter makoga
Member
- Mar 5, 2017
- 31
- 9
Ndio zote 20Hiyo 6.5m ni kwa zote au?
Pamoja na ArdhiNa ardhi au mutu pekee
Huyu ni mfanyabiashara, kuna biashara nyingine anafanya hivyo anataka awekeze kwenyebiashara hiyo nyingineDuh, too good to be true! Sababu ya kuuza ni nini?
Tshs 6,500,000/heka 20Zipo ekar 20
Miti ina miaka 2
Bei ni milion 6 na nusu
Zinapatikana ktk tarafa ya Lupembe mkoani njombe,
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929,0655726929 na whatsapp 0742188846
Miti imepandwa 500 kila ekarTshs 6,500,000/heka 20
= Tshs 325,000/heka
Umepanda miti mimngapi kila heka??
Hakuna migogoro huko??
Hakuna kuchomeana mashamba??
Miti imekua yote shamba zima (hakuna iliyokataa)??
Mikuza ipo??
Majirani zako nao wamelima??
We ni Mwenye Shamba, mwangalizi, dalali, jirani au nani??