Lindembwee
Senior Member
- Aug 15, 2018
- 144
- 94
Shamba la miti heka 4 aina ya pine linauzwa . mkoani Iringa wilaya ya mufindi.
Miti ina umri Wa miaka 6, kwa shamba lote linauzwa kwa bei ya tshs 5,500,000... Kwa heka moja ni tsh 1, 5000,000.
Mawasaliano: 0654171555.
mbona gharama ya heka moja ni kubwa kuliko gharama ya shamba lote?
Mbini za kibiashara kukuvutia ununue lote
Sent from my iPhone using JamiiForums
hata kama ni kosa la uandishi hakuna billion hapo! labda milion 10 na laki tano!Yaani Ekari moja ni bilioni moja na milioni mia tano? najua ni kosa tu la kiuandishi.
weka picha basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu hapo nilikosea ni 1500000Mbini za kibiashara kukuvutia ununue lote
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni 1m na laki tano.hata kama ni kosa la uandishi hakuna billion hapo! labda milion 10 na laki tano!
Najaribu kutumia picha naona kama zinagoma .. Nicheki watsup kwa hiyo namba nikutumie