Papaa Kinyani
JF-Expert Member
- Feb 25, 2013
- 1,457
- 699
Mwambie kwa kiswahili kuwa "abandike picha"Nothing to impress your business. Words are not enough man.
Umemaliza tayari.Mwambie kwa kiswahili kuwa "abandike picha"
Amwambie pia kwa kiswahili kuwa aweke na bei.Mwambie kwa kiswahili kuwa "abandike picha"
Hahahahahaa LOLAmwambie pia kwa kiswahili kuwa aweke na bei.
Tulisahau na kingine kimoja: Aweke na bei...Umemaliza tayari.
Akifanyia kazi ushauri wenu, tangazo litakuwa limekamilikaTulisahau na kingine kimoja: Aweke na bei...
Ngoja nitafanyia kazi, kwa sasa nipo kwenye mikono salamaPapaa kinyani fanyia kazi maoni ya wadau ili tangazo lako liwe na maana
Shamba lenye uzio la ukubwa wa heka 2.5, lipo Dar - Madale - Kisauke likiwa na mabanda ya kufugia kuku yaliyokamilika kwa vifaa vyote kwa kuku wanaoweza kufikia elfu kumi linakodishwa. Eneo ni zuri pia kwa kilimo cha mbogamboga, mipapai, nk. maana maji yapo mengi na umeme pia.
Njoo uone, pia kama unataka kununua tutaongea.
Kwa muhitaji tuu piga 0715274727 - Xhevior