Habari wana Jf,
Nahitaji msaada kwa yeyote anayefahamu eneo lenye mashamba ya kukodisha kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji mikoa ya Arusha na Manyara. Lengo likiwa ni kufanya kilimo cha mazao ya mda mfupi pamoja na mbogamboga.
Natanguliza shukrani
Kwa mawasiliano: 0625644268