Shamba la heka 29 ambalo baadhi ya sehemu yake imepandwa miti 2300 ya mbao ambayo kwa sasa imemalza miaka 3 toka ipandwe linauzwa kwa sh million 40 jumla na miti yake.
Shamba hilo linapatikana Geita mjini.
Kwa anayehitaji ni cheki hewani kwa namba 0769031693 kwa masiliano zaidi!