Shamba la eka 9 linauzwa

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,137
Reaction score
365

Shamba lenye ukubwa wa eka tisa linauzwa, lipo katika kijiji cha kurege, kijiji cha pili toka Bunju. Shamba hili linapakana na barabara ya lami. Lina nyumba mbili. Pia na msingi wa kujenga ghorofa. Lina hati miliki tatu, moja ya makaazi na biashara, nyingine makaazi. Lipo karibu na kituo cha uwekezaji cha EPZA kunakoanza kujengwa viwanda sasa linafaa kwa biashara na maKaazi. Bei Tshs 400mil.
 

Attachments

  • IMG_0359.JPG
    63.8 KB · Views: 66
  • IMG_0358.JPG
    68 KB · Views: 58
  • IMG_0354.JPG
    62.2 KB · Views: 66
Kitomai bwana!!!,
Hizi bei unapewaga na wauzaji hivyohivyo, au wewe ndio mpangaji wake
 
Hii bei ni kinyume na sunnah!
 
kha masikini tutamiliki maeneo kweli namna hii!
 
Ehehehe kweli tutakuja kujenga kweli sisi masikini,hapo on evarage inaonyesha haka moja karibia milioni 44.5 khaaaaaaaaaa,hapo tukienda mbele robo heka sawa na mil 11 tena nje ya mji daaaaa hatareeeee,bora hiyo hela niende mbezi lous ninaweza nikapata heka 100
 
out of topic: ningependa kupaua nyumba yangu kama picha ya kwanza hapo juu je wadau itanicosts shilingi ngapi kwa nyumba ya vyumba vinne?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…