Asante kwa ushauriWeka bei n other features kama umbali kutoka barabarani na vitu vingine ikiwezekana weka na picha 3 4 kutia nyama uzi wako,
Watu watajipima then ndo tutumie ayo mawasiliano yako
Karibu mkuu,unataka la ukubwa ganiMwasonga ipo wapi? Nahitaji shamba kibaha jamani mwenye nalo njoo tuyajenge