A Aika Mndumii Senior Member Joined Jan 19, 2013 Posts 164 Reaction score 47 Apr 9, 2014 #1 Wakuu natafuta shamba maeneo ya kigamboni. - Eneo lolote kigamboni. - Isiwe chini ya ekari tano - isiwe zaidi a km 40 kutoka feri Kama unafahamu ninavyoweza kupata tafadhali nijulishe pamoja na bei yake Asante
Wakuu natafuta shamba maeneo ya kigamboni. - Eneo lolote kigamboni. - Isiwe chini ya ekari tano - isiwe zaidi a km 40 kutoka feri Kama unafahamu ninavyoweza kupata tafadhali nijulishe pamoja na bei yake Asante