unafika kabisa mlandizi stendi kabisa na unaingia upande huo huo wa kushoto kutokea dar au ukitokea chalinze unaingia kulia kijiji cha ng'etwa ni kama 1km toka stendi.
hakuna matatizo yoyote hapo kwenye hilo shamba kabisa, lipo kijiji cha ngeta au piga namba hii hizi kwa maelezo zaidi 0712754400 au 0713626494 wakati wowote utapata maelekezo zaidi.