Shamba heka 8 linauzwa-Kisarawe

jubilant

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2009
Posts
305
Reaction score
307
Shamba / Eneo linauzwa hekari 8.
Lipo
Wilaya : Kisarawe
Kata : Msimbu
Kijiji : Mwanzo Mgumu

Kuna mto wa msimu unapita mpakani mwa shamba
Kutokea chanika stand nauli ya daladala ni Tsh 2000 mpaka kijijini mwanzo Mgumu na ni dakika 10 kutembea mpaka shambani
Barabara ipo mpaka shambani.

Lina udongo mweusi kwa kilimo cha
Tikiti maji
Vitunguu
Mpunga
Mahindi
Viazi
Mboga mboga
Matunda

Kuna nyumba ya room 1
Na matank 4 ya maji ya Lita 1000
Lina hati ya kijiji

Bei : Milioni 10.
Mawasiliano
Malisa +255 754 566721.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepiga hiyo namna naona haipatikaji, sijui ni network au lah.

Ila whatever, nilikuwa nataka kukwambia nina milioni 7 cash, vipi naweza nikapata hilo eneo?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mto wa msimu ambao masika huwa unapitisha maji, sio lote tambarare kuna eneo la mwinuko Kama heka 4, maji hayatwami ila mvua kubwa zile za elnino mto ulimwaga shambani, give ur no nikutumie more pic on whatsapp

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…