Shamba ekari tatu zinauzwa kila moja 65ml. (Mazungumzo yapo)
Shamba liko Moshi mailsita weruweru kaskazini kutokea barabara ya Arusha moshi.
Pia liko mita 400 kutoka main rd ya Moshi to Arusha.
Mkuu mi naona utaendelea ku-quote na ku quote lakini haitabadilisha kitu. (Unknown Quotes)
Mi ningekushauri ubadili labda bei hivi uone itakuaje. Inawezekana hiyo 65mil ndio market price ya huko lakini zama zimebadilika mkuu, kipindi hiki sio kama kile kilichopita