CHIEFMANGU
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 654
- 1,070
Wadau wa kilimo,nina shamba langu ekari 5 linapatikana maeneo ya kingolwira,umbali wa kama km 20 kutoka main road,(Dar - Moro).
Pnafikika vizuri kabisa kwa usafiri wowote,ninauza kwa sababu nina uhitaji mkubwa wa pesa kwa muda mfupi,ni shamba salama lisilo na mgogoro wowote!!!
Bei ni Tsh.800,000/= tu,kwa ekari moja.
For serious buyers karibu Pm.