Tupe jiografia ya shamba na kijiji cha Isanga.
- Ardhi yake inafaa kwa kilimo cha mazao gani
- Shamba liko tambarare au lina milima na mabonde
- Kuna maji ya mto karibu ya shamba au kuna mto wa maji yasiyokauka unapita ndani ya shamba lako.
- Mauzo ni kwa ekari zote 1000 kwa pamoja au unauza kutegemea uwezo na mahitaji ya mtu.
- Usafiri wa kufika Isanga ukoje, barabara zinapitika kipindi chote cha mwaka.
- Je shamba ni la miradhi
- Kuna mazao gani ya kudumu ndani ya shamba, au ni shamba pori
- Shamba lina hati ya kijiji