SautiYaMnyonge
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 439
- 742
Ila wengine wakifanya hivyo mnawakamataMwenezi anaupiga mwingi balaa,
Wapinzani wapi CHADEMA au TLP, UDP, TADEA?Hivi wainzani nao wanaruhusiwa kuitisha vikao ?
Kama wanaamini kweli wanakubalika CCM bac tupate katiba mpya na tume huru ya uchaguzi mm nadhani ccm haipo tena kimebaki kikundi fulani cha watu wanalinda maslai binafsi kwa kutumia plc ndo maana hawatk wengine wafanye siasaKatibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara ya kuhamasisha uhai wa Chama, kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025, kupokea taarifa za mashina na kuhamasisha wananchi kushiriki zoezi la sensa ya watu na makazi 2022.
Akiwa wilaya ya Mtwara Mjini mkoani Mtwara Shaka ametembelea Mitengo-Kilima Hewa shina namba 5, Mtawanya shina namba 4 na Naliendele shina namba 5.
Aidha alikamilisha kwa kufanya kikao kazi na wazee wa Mtwara Mjini katika ukumbi wa mikutano wa CCM wilayani hapo.
#ChamaImara
#KaziIendeleeView attachment 1942613View attachment 1942614View attachment 1942616View attachment 1942617View attachment 1942618View attachment 1942619View attachment 1942620View attachment 1942622
mshahara haujapata nn maaana umeongea kwa uchungu sanaKama wanaamini kweli wanakubalika CCM bac tupate katiba mpya na tume huru ya uchaguzi mm nadhani ccm haipo tena kimebaki kikundi fulani cha watu wanalinda maslai binafsi kwa kutumia plc ndo maana hawatk wengine wafanye siasa
Mm sihishi kwa mshahara hapa dunian mm ni mtu Tajiri na natoka kwenye familia bora sio kama wale ambao kula kwao na kuendesha maisha yao hapa dunian wanategemea chama cha kijan wakisikia watu wanadai katiba mpya wanachanganyikiwamshahara haujapata nn maaana umeongea kwa uchungu sana
Mm sihishi kwa mshahara hapa dunian mm ni mtu Tajiri na natoka kwenye familia bora sio kama wale ambao kula kwao na kuendesha maisha yao hapa dunian wanategemea chama cha kijan wakisikia watu wanadai katiba mpya wanachanganyikiwa
Kapuku ni ww ndug yangu unayeshinda una sifu na kuabudi upate buk 7 huk wenzio wenye chama cha kijan wakihishi maisha kifahar shutka dogo utakufa maskinitajiri hajitaji mdogo wangu, kwahio wewe ni kapuku mmoja unaehitaji msaada wa haraka
Kapuku ni ww ndug yangu unayeshinda una sifu na kuabudi upate buk 7 huk wenzio wenye chama cha kijan wakihishi maisha kifahar shutka dogo utakufa maskini