Manara akiwa Simba,Shafii alikua anapambana naye ili kujitengea pande Yanga kuwa anaweza kumdhibiti Manara.
Sasa Manara yupo Yanga,nafasi ya Afisa habari Simba iko wazi,so Shafii anapamba kuipata kwakuonesha kuwa yeye ni kiboko ya Manara.
Rejea kwa Mwijaku,kapamba mpaka amepata uhamasishaji kisa tu,kaonesha ana uwezo wa kumdhibiti Manara.
So tatizo ni uafisa habari pale Simba,na mtu hatoipata bila kuonesha uwezo wa kumdhibiti ama kupambana na Manara.
Sent using
Jamii Forums mobile app