Kabisa, Timu ujaze Wakongo alafu utegemee nini? Hapa Bongo bendi ndio hujaza Wakongo sio mpira [emoji28][emoji28]
Kumbuka haji ni mlemavu, nahisi walemavu unawajua.Haji ana weakness sehemu anapenda sana kusema wenziwe lakini akiguswa yeye shida...hapendi kukosolewa,hapendi challenge ipo siku atakutana na kichwa kibovu atamlipua tu kama anavyofanya yeye kwa wenziwe!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Waliotuadhibu wote wanacheza ligi kubwa ulaya,hao wa hapo Utopolo ni makinikia tu yaliyokwishwa muda wa matumiziUkumbuke hao wakongo ndio walitusulubu kwa mkapa vipi kuhusu wale wacheza makirikiri?
Wana inferiority complex mbaya sana...yaani wanapenda kujishtukia mnoo!Kumbuka haji ni mlemavu, nahisi walemavu unawajua.
Wazamini ndiyo niniHaji ni boya, analialia tu. Kweli yanga hakuna wachezaji Bali Kuna wahuni tu pale kuanzia viongozi wazamini mpaka wachezaji
Kiboko yake ni Jerry muro anamnyoosha sanaHaji ana weakness sehemu anapenda sana kusema wenziwe lakini akiguswa yeye shida...hapendi kukosolewa,hapendi challenge ipo siku atakutana na kichwa kibovu atamlipua tu kama anavyofanya yeye kwa wenziwe!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Hao wakongo uzi tu wameisitishia timu yenu ya Taifa Safari ya KATAVI.Kabisa, Timu ujaze Wakongo alafu utegemee nini? Hapa Bongo bendi ndio hujaza Wakongo sio mpira [emoji28][emoji28]
Hebu taja bata yoyote wa kikongo aliyepo hapo utopoloni ambaye alihusika kwenye kuiondoa Taifa stars.Hao wakongo uzi tu wameisitishia timu yenu ya Taifa Safari ya KATAVI.
Mkuu hadi huyu Mayele aliyetufunga?Waliotuadhibu wote wanacheza ligi kubwa ulaya,hao wa hapo Utopolo ni makinikia tu yaliyokwishwa muda wa matumizi
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Wachezaji wanao,fey toto,Aucho ,Diara ,Mayele ,Moloko ,mwamnyeto ,Bangala ,Dicson Job ,Djuma .Haji ni boya, analialia tu. Kweli yanga hakuna wachezaji Bali Kuna wahuni tu pale kuanzia viongozi wazamini mpaka wachezaji