Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 7,696 Reaction score 15,979 Oct 8, 2025 #21 Kule Yanga kupata namba kwa ulozi hakuna atasugua binchi alafu wampeleke kwa mkopo Toto Africa.
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,775 Reaction score 28,222 Oct 8, 2025 #22 Gwele said: Mkude na Okrah walikuwa na ukali gani,? Click to expand... Kwa huyu futa kauli yako haraka sana
Gwele said: Mkude na Okrah walikuwa na ukali gani,? Click to expand... Kwa huyu futa kauli yako haraka sana