Kua kwanza.Duuuh...pole naona inaku-pain, usihofu thamani ya mke itabaki kuwa palepale. ...kumbuka binadam ndo Aliyemtengeneza robot hivyo anawazidi akili hao marobot,,, usimuhofie huyo uliyenaye. ......🙂🙂🙂🙂
Poa kikongwe naona umekoma na kukua....Hayo mambo waachie vijana wewe endelea kula ugolo...Ushauri Siku nyingine ukiona post za vijana usii-quote.. . ..Kua kwanza.
Poa kikongwe naona umekoma na kukua....Hayo mambo waachie vijana wewe endelea kula ugolo...Ushauri Siku nyingine ukiona post za vijana usii-quote.. . ..
Poa bibi na wewe Zeeka vizuri. ..Poa dogo, nakutakia kukua kwema.
Haya.Poa bibi na wewe Zeeka vizuri. ..
[emoji23][emoji16][emoji16]Yah sure linapikia watoto chapati na maandazi ya aina mbalimbali
Jinyonge tuuuDunia simama nishuke
AiseeJinyonge tuuu
Mana watu wamezd kujitoa ufahamu bwn..utaishije na robot,.. Wakae nalo wapange kbs na watavopaua nyumba yao mpya...si wanapenda marobot..[emoji23][emoji16][emoji16]