Mara Erotica ana pepo la ngono. Mara ooh mtu gani topic zote ziwe za ngono. oooh inabidi aombewe.
Waangalie kule!! Siachi! SEX is my Brand name. And Erotica Erocious my name.
I am wandaring, wangapi hapa hawawazi kuhusu ngono hapa na pale? Wangapi mabikira hawajawahi
onja kabisa? Wangapi hawana wapenzi/washirika ngono hapa? Kwanini ni waoga hivo wa kutoa hoja
zenyu? kwa nini mtajivisha utukufu na halil mmejifisha kwenye hizo avatars za oungo na ukweli?
Niigeni mimi, picha ni yangu, jina ni langu, na mawazo ni yangu. haya ninayowakilisha haypo jamii yenyu?
Hivi kumbe ni ajabu sana mtu kuongelea SEX na kuomba ushauri? Hili somo la Sex ni taboo?
Enyweyz leo nina furaha sana. Boi frend wangu kapona, we are in it for a whole weekend. TGIF!
Mwaaaaah. :A S kiss:
Aseeeee!!hebu wakupishe huko....nani ambae hatumii hako kakitu....
heri yangu mimi nimeandikiwa na daktari....infwakti w/end hii nina dozi nene.....TGIF....yipeeee
hebu wakupishe huko....nani ambae hatumii hako kakitu....
heri yangu mimi nimeandikiwa na daktari....infwakti w/end hii nina dozi nene.....TGIF....yipeeee
Aseeeee!!
Duh!!
:baby:
eep:
we unawaza ngono wengine wanawaza hii kitu
kwa hiyo unataka tuvunje sheria ya jf kuweka jina na avatar ambazo sio za kweli kwa ajili ya usalama wa raia na mali zao,we kama umeona jina na picha yako havina tatizo ni wewe usianze kusulutisha watu hapa,'niigeni mimi' who are you?
Erotica una mambo............lakini there is more to life than sex.............halafu wengine tumekuzwa tofauti, hadi leo tunabana miguu
Mim sijawahi.
Ila siyashangai maongezi yako labda ndiyo yanayokufurahisha na hapa kila mtu ana uhuru wake wa kuongea ilimradi humtukani mtu.