Seven reasons why some of Degree holder are Poor

Haya bhana unayejua ingilish
 

Haya bhana unayejua ingilish
😁😁😁😁
 
Great said
 
what do you want to suggest?
do you want to tells those who are in colleges to stop learning just basing on your jealous to educated people?
what i can see hear, you fail to perform well while you where in studies and now you are hating those who successed with their certificates
Its better for you to strive with your conditions
 
Last three paragraphs are REAL germs!!
 
Usilaumu sana wengine ni kwa sababu ya shule walizosoma, wape pongezi wamepata izo degree. Wengi wao shida ni English ya kuongea tu ndo hawana ile confidence ila ya kuandika wako vzur tu na wengi ni kutokana na shule walizopitia a.k.a swahili medium mwanzo mwisho.. So relax broda...
 
Kama degree holder hawezi kuelewa lugha hii ambayo jamaa amejitahidi kuirahisisha,basi arudishe hiyo degree chuoni alikoipatia.
 
Before we blames them let us clear something there at TIE.

They learnt theoretically and not practically.

Our curriculum, Our burdens!
 
Huyo ni wewe hakuna degree holder maskini Dunia nzima , labda wewe tu, au kma imetokea akawa maskini basi, amerogwa huyo!! tunajua miafrica mnaloga sana watu!!! hasa watoto wa kaka zenu! nyie mashangazi, mibaba midogo!

tunawajua sana kwa rorho mbaya zenu, hamtaki wengine wapate fursa! hasa Manamake haya mnayo oa, oa! haya yana roho mbaya ni usipime, yana wapiga vita sana, hata mume wake tu si kitoto!! Japo si ke woote wako ivo! kama huyu jack huyu mwee!!!

kuna misemo inasema kuwa Rafiki ni bora kuliko ndugu!! walio sema haya walikuwa hawatanii!!! ni kweli! beyond ukweli !! mindugu ina roho mbaya sana ever hasa miafrica! unalisaida lkn ajabu linaonea watoto wako wivu, tena ule wa kuharibu akili kabisaa!!

siyo ule wivu wa kushindana. mashindano ya Maendeleo! km weupe! no! ni kuua na kuharibu mpaka leo shetani anawacheka sababu mmemzidi yeye! kwa uharibifu!! wa watu na mali!..... yaani hata shetani huyu anawaogopa!!!

siku ukifanikiwa tu haya majitu hutakaa uyaone maisha yako yote!! siyo yana kuroga tu, yanaua pia, yanakupiga mikosi mpaka unaona nyota tu ofisini!!! Miafrica ndo damu hizi hizi za hovyo ziliuza ndugu zao utumwani!! kwa pesa,

sometimes waliwafanyia mtima nyongo maksudi tu! wapoteee!! yalikuwa na dawa nzuri ila ajili ya roho mbaya yakafa nazo!!! kwao wao hawaji kukaa nawe ukifanikiwa!! sababu dhamira yao ina whukumu! ukitaka ukae nao hao ni uwe maskini km wao!!! hata wewe uliye andika hapa ni mchawi tu!
 
Usitufokee Sasa
Mleta mada hana akili kabisaaa!! ndo maana ali fail!! utajiri gani anaongelea!!! kwa akili zao hao ni
hayo Machuma chakavu anayo endesha, second hand cars!

na kurundika michanga mjini au!!!!
Kula nyama za vibudu Darisalama Bongo!
Kutumia AC mahiti ya mchina!!
second hand clothes amemalizaaaa....

Msomi, msomi hasa si ana utajiri wa ufahamu? tena wa mambo meengi.

anajua kuitafsiri Dunia, kisiasa kirahisi zaidi huo siyo utajiri ?
ambae hakusoma!!! hata hajui money influx rate in da world Market!

Political atmosphere hajui kamwe!

World geography, twisting internal religion maskini wa Mungu hajui! anapelekwa pelekwa tu na wachungaji fake! na ni rahisi mchungaji mlokole kumfilisi huyu!! kibwetere kaua wasio soma wengii wengi, hakuna msomi alikufa pale!!

Gwajima ni msomi yule amewakamata masikio maskini mpaka baaasi!! na anajua anachofanya yaani wasio soma hawaelewi mpaka kesho, nitalia sana nikimkuta Mfuasi kindaki ndaki na msomi kwa kundi la Gwajima!! wasomi wengi mle kundini wanafanya research hasa!

Lishe bora tajiri mbumbu haijui, umuhimu wa mazoezi hajui!! ale nini aache nini!! hajui atake asitake lazima aajili wasomi tena kwa hela nyingi wamsaidie kuishi salama!!! vinginevo yaani atakufa mapema kwa kufakamia vibudu vya pugu hovyo! sababu tu ana pesa,


Pesa ambayo jiwe anaweza kuipangua faster, na ukakaa chini, hujui pa kwenda kichwani peupe , sasa je! si unaona alimtikisa yule tajiri msomi Muhindi, Jiwe akatikisika yeye! mpaka kifo cha kijinga kabisa kikamkuta!!

hata wala hakwenda kumuona, hata kumjulia hali lkn km asingesoma yule kijana, angetikiswa kweli na jiwe!! but jiwe akaishia kufa yeye kwa kisingizio eti atrial fibrillation inayotibika kirahisi, wkt yuko Ikulu, na pesa zoote zile! madaktari woote hao!

maskin akipata BP ni amerogwa tu ataenda kwa mganga wake wa ndagu! hatuwezi kumlaumu hajui, kinacho msibu km angesoma japo kidogo hawezi kufa kijinga hhivo!! kuumbe angecha kula vitu fulani fulani tu!

Huyu tajiri wa shule bin madarasa meengi ameamua yeye km yeye awe na utajiri wa Maarifa na ufahamu, ufahamu hasa wa kidunia!
Huyu Maskini wa madarasa, na tajiri wa mabati, na michanga, anamcheka tajiri wa Elimu kwa kuwa yeye Eti hana mabati,

lkn hajui undani wake sababu hakusoma, wivu tu!! hawaridhikagi hasa akiona mwenzake anashuka English Km maji mama weee!!!, utajinyea! macho yanawatokaga hao! na wasomi afya nzuri zao hatu mii vibudu km yeye!! ambavyo anaona ni kitu bora sana kwake! eti anatesa kwa zamu!!

Angalia msomi,mgabe, nyerere hawakuwahi kuumwa kijinga! jakaya kikwete Afya Bomba km zote! pamoja na kula vya ikulu miaka 80!

Ni sawa na mbunge tajiri mmoja wa Mabasi - Mwanza alimnanga Muhongo eti ni dhaifu, eti anataka haki kuuza dhahabu ughaibuni asiyoiujua hata matumizi yake!! mwee! tena hadharani Bungeni, Muhongo hakumjibu mpaka leo!!! nilipenda sana hii akili kubwa!!

kichekesho ni kuwa yaani wasio soma ni wana vinyongo visivyoisha mpaka basi!!!! ni km walisomea vinyongo! kuwasema sema wenye Elimu zao sana tu!!! lkn wasomi hawanaga kinyongo kabisaaa na matajiri wa hayo mabati! wasio soma !

sasa kwa nini muwaseme kama hivi!!! endapo tu hamuumii kuikosa hiyo Elimu??? nakuuliza mleta mada!!!! . ( sababu ya uelewa mkubwa walio nao wasomi? au )!!

kama wanachukia wasomi, na hawapendi Elimu hivo!!! mbona hawazuii watoto wao kwenda shule?? ina maana shule hawazitaki?? hata ufanyeje utamuajili msomi tu, tena kwa adabu zako zote! ukibisha anapiga ndefu!! na

ukifanya fyoo utafilisika mazimaaa hutanyanyuka tena!! Bank kwenyewe unakotunza pesa zako wasomi tupu, hayo mabasi yanatengenezwa na nani? wasomi, inahitaji wasomi kuweka sawa mikataba!! sasa wewe nenda na kaptula lako la Max

Yaani kwa ujinga wao wa kuto kusoma wanadhani wasomi ni Malaika? hata uelewa wa kuchuja kajambo kadoogo km haka inawawia shida sana!! eti wasomi ni maskini weeee!!! rudi darasani ukasome upya!! au aliye kwambia ivo hakupendi hasaaaa! kamuue!!

Ukiona Msomi maskini kabisaaa hana chochote ni amerogwa na wasio soma,, sikieni nyie wasomi muwatenge wasio soma kamwe usijichanganye nao km wewe siyo chawi, waombe kura tu!!

kisha kakae uzunguni hukoooo ndani ya heka kumi, piga fance ya wire malizia na ukuta kwa karibu na unapoweka mbavu, weye ni Dodoma tu!! na Ulaya, South africa ,,, mda ukifika nenda Jimboni, wapambe kwa maneno!! wakileta za kuleta anza zako kwa wajanja wasikuone teeeenaaa!1

Mleta mada ni muongo, mpotoshaji, wivu, hakusoma, msimkuablie km unamasikio wewe ambaye hujasoma kasome!! ndo wajinga wasio soma walivo.. tchaooo!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…