Seven (7) reasons why most degree holders are poor?

Dunian kuna mabilionea zaidi ya 2000. Kati ya hao wote wasio na degree n 200( mia mbili tu ...including laizer)..WATU WASIOCHOJUA N KWAMBA WASOMI WENGI SANA WAMEFANIKIWA ...
Umesaod8anien

Umenifanya nisisimkwe, wewe ni tajiri hata kama huna hata Mia. Wengi hawana kitu kwenye intellects zao, nachoweza kusema hawataki kutumikia intellects zao
 
Brother that's nice piece of advice....Ila kuna wale kima wavivu watakuja kubweka kwamba ww ni motivation speaker kama uliwaomba mia zao za sigara....alafu maisha yao wenyewe...
 

Kiingereza chenyewewe kibovu balaaaaaaaa.
 
With all due respect, I wish to respond that the author is wrong because he has failed to consider holy scriptures as Jesus said to his disciples. Mathew 19: 23 reads as follows "the said Jesus unto his disciples, verily I say unto you, that a rich man shall hardly enter into the kingdom of heaven"
In that regard, we aren't poor because of our certificates but we are complying with holy scriptures. So in holy eyes,;the author completely wrong.
 
Mathayo Fungo sasa mbona hujatoa 'Credit' au 'Acknowledgement' kutoka katika 'Chanzo' chako ulichotoa hii Taarifa? au umeitoa Kichwani Kwako?
 
Bro congratulations for great advice imebidi..nicomment tu..i promise you mkuu you opened my eyes
Huyo ni motivation speakers... wanasema walianza mgahawa na maharagwe 2 mchele robo...

Fanya unachokijua umasikini au utajiri is beyond our thinking capacity...
 
You are very intelligent! And what you have written is a pure fact.
 
Nimeamua kufuta vyote nilivyoandika, Uzi uwe pinned kwenye kumbukumbu muhimu za Jamii Forum.

Matumizi ya kipaji katikati ya Elimu ndo unaoleta mageuzi,ugunduzi na mafanikio ya mtu katika kufanikisha mambo, tena elimu yenyewe inayohitajiika hapo ni kidoooogo sana ndo maana mabilionea/wagunduzi wengine walitoka darasani mapema sana, tofauti na hapo Mda mrefu darasani unakuwa ni Ushabiki kama Ushabiki mwingine..............ndo maana ajira zinakuwa finyu sababu mashabiki ni wengi kuliko wachezaji & wachezeshaji AKA Game Changers.

Hivi umeshawahi kujiuliza kuna madarasa ukipanda ni marudio ya uliyosoma nyuma sema tu nakshi nakshi zinaongezwa ndo level inapewa jina lingine, kweli waliogundua mfumo wa Elimu Mungu anawaona...........wakatuwekea na tuvimitihani tunakesha hatulali tukimeza madesa ya kanuni za wagunduzi aisee..

Kiufupi Elimu imeletwa kupiga msasa vipaji.

Nimegundua jinsi unavyozidi kuongeza madegree ndo unazidi kujiweka kwenye mfumo wa kitumwa,ukikitumia vizuri kipaji chako PHD Wanakutunuku tu..........hawakukimbizi darasani wala huilipii labda uichonge.



ILA HUU UZI UMEJUA KUTUFOKEA WAPWA...............
 
Great educative article indeed. And, since ,I am surrounded with couple of them( graduates) I have to keep and use it as the rod of instructions to them whenever will be needed.
 
You are absolutely CORRECT
 
Chakula Cha ubongo Ila Nadhani kwa leo ubongo wangu umeshiba
Nawaachia nyie😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…