cheeter JF-Expert Member Joined Apr 19, 2011 Posts 475 Reaction score 155 May 26, 2012 #1 naombeni configuration settings za Tigo ili nijiunge na internet kwa simu ya kichina.. inlude: APn: Primary Dns: Secondary Dns: Ip address: Thanks
naombeni configuration settings za Tigo ili nijiunge na internet kwa simu ya kichina.. inlude: APn: Primary Dns: Secondary Dns: Ip address: Thanks
K karatta Senior Member Joined Apr 2, 2012 Posts 109 Reaction score 46 May 26, 2012 #2 Kama Upo Dar Nenda Mliman City Tigo Watakuunganshia Bure,voda Na Airtel Wanazngua
sop sop JF-Expert Member Joined May 2, 2012 Posts 325 Reaction score 35 May 26, 2012 #3 ni PM na vocha ya voda ya tsh 3000 nikupe mambo ,haina haja ya kwenda mlimani city
Parata JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 3,090 Reaction score 692 May 26, 2012 #4 sopsop said: ni PM na vocha ya voda ya tsh 3000 nikupe mambo ,haina haja ya kwenda mlimani city Click to expand... kzi imeanza buku tatu tena hahahaha
sopsop said: ni PM na vocha ya voda ya tsh 3000 nikupe mambo ,haina haja ya kwenda mlimani city Click to expand... kzi imeanza buku tatu tena hahahaha
sop sop JF-Expert Member Joined May 2, 2012 Posts 325 Reaction score 35 May 26, 2012 #5 samrich vipi...?mbona umestuka hivi
mathematics JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 3,324 Reaction score 1,116 May 27, 2012 #6 tuma neno "internet nokia 6030" kwenda 15300, utafuata maelekezo ya kusave settings, hapo unakuwa umedanganya aina ya simu yako ni nokia 6030 na setting zitakuaj bila wasiwasi na zitafanya kazi,
tuma neno "internet nokia 6030" kwenda 15300, utafuata maelekezo ya kusave settings, hapo unakuwa umedanganya aina ya simu yako ni nokia 6030 na setting zitakuaj bila wasiwasi na zitafanya kazi,
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,223 May 27, 2012 #7 Kama unasimu ya kichina ni voda pekee ndio huwa wanakubali kuunga net kiurahisi kutokana na ip adress nizijuazo mim
Kama unasimu ya kichina ni voda pekee ndio huwa wanakubali kuunga net kiurahisi kutokana na ip adress nizijuazo mim
mkayala JF-Expert Member Joined Feb 25, 2009 Posts 555 Reaction score 72 May 29, 2012 #8 wala usihangaike,piga tigo namba 100 kisha endelea hadi uongee na watoa huduma,atakuunganisha line yako moja kwa moja,hakuna haja ya setting
wala usihangaike,piga tigo namba 100 kisha endelea hadi uongee na watoa huduma,atakuunganisha line yako moja kwa moja,hakuna haja ya setting