setanta channel

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,903
Reaction score
63,552
hivi hawa setanta wa star times kuna mechi yoyote ya live wanayo onyesha aua zao ni kuonyesha mechi za zamani tu?. naombeni kujulishwa!. mia
 
...wakati fulani wanaonyesha Mechi Live lkn siyo kiviiiiile: mf. Champion League 16 bora kuna baadhi ya Mechi walirusha live.
 
Kaka heshima yako. Ninakuhusudu. Jamaa wanaonyesha but sio zile unazozipenda,wanaonyesha sana ya uholanzi na vinchi vingine.
Hata hivyo the last el-classical walionyesha. Kama uko Arusha tutafutane. mia
 
asante sana mkuu. mimi nipo dar. sasa hawa star times wapi ntakua napata ligi za uingereza?. tofauti na itv sioni channel nyingine ya maana. nmechakachua kidogoo ndo nikata hii ya movie. but asante kwa maelezo. mia
 
...wakati fulani wanaonyesha Mechi Live lkn siyo kiviiiiile: mf. Champion League 16 bora kuna baadhi ya Mechi walirusha live.

asante mkuu. sijui kwanini hawa star times waliamua kuweka uchafu wakauita channels za kulipia. naona nia yao ni kueneza tamaduni za kichina. wangeanza kwanza kutufundisha lugha lakini kwa hili wamechemka. star times nmewashusha ile mbaya. mi nlichoka kuangalia cd nikasema ngoja nitest huku lakini bora hata ya cd. wameniboaje!?. mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…