Service za magari

Service za magari

Joined
Nov 5, 2014
Posts
18
Reaction score
4
Yeyote anaehitaji huduma ya service na matengenezo ya gari yake kwa bei nafuu tuwasiliane kupitia 0766981308. Huduma hii naitoa haswa kwa wakazi wa Dar, kwa wakazi nje ya Dar tutaelewana.
 
kama ulijua nina bonge la usingiz napatikana m/nyamala ila bado cna mtaji wa kutafuta permanent eneo au gerej,so namfuata mteja alipo.
 
Wewe ni specialist wa umeme, panel bitting, engine,cooling system,tyre service,AC au eneo gani la gari?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom