Server inahitajika

Server inahitajika

twijuke

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
547
Reaction score
252
Poleni na majukumu, kwa wale wajasiliamali wezangu nahitaji msaada wenu nimekwama, nimepata katenda ka kujenga networking mahali nimefanya kwa hatua zote, mwisho nimekwama kwenye Server. Aina ya Server ninayohitaji ni. (Hp Proliant DL380p-G8 Intel Xeon E5-2609) (2.4GHz/14-core/10MB/80w),8GB (1X8GB), P420i/512MB FBWC 2x300GB SAS HDD, DVD-RW, 1x460W au zaidi. Malipo ni baada ya siku 30 tangu makubaliano. mawasiliano 0773 944 944
 
onana na mathematics au YoungMaster watakusaidia kupata unachohitaiji
Poleni na majukumu, kwa wale wajasiliamali wezangu nahitaji msaada wenu nimekwama, nimepata katenda ka kujenga networking mahali nimefanya kwa hatua zote, mwisho nimekwama kwenye Server. Aina ya Server ninayohitaji ni. (Hp Proliant DL380p-G8 Intel Xeon E5-2609) (2.4GHz/14-core/10MB/80w),8GB (1X8GB), P420i/512MB FBWC 2x300GB SAS HDD, DVD-RW, 1x460W au zaidi. Malipo ni baada ya siku 30 tangu makubaliano. mawasiliano 0773 944 944
 
Last edited by a moderator:
Nakushukuru ndugu, waweza nipa contact zao?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom