Nina server ya dell poweredge 1800 ilizima ghafla na baadae ikawa inabrink rangi kama ya njano hivi kila nikijaribu kuangalia tatizo silipati na mara ya kwanza ilifanya hivyo na baadae ilirudi yenyewe. Sasa imeanza tena nifanyeje?

Hizo rangi zina maana yake. Soma manual ya server kujua bliking ya orange colour ina maana gani. from there utajua wht to Do. Lakini mara nyingi hizo taao na rangi sign ya malfuntion ya hardware fulani
Mfano hiyo server inapokea input power supply ngapi?. Maan kuna server inapokea moto mara mbilina ina powe supply mbili mja kwa ajili ya standby.
Na baadhi server sometine zina batery kama CMOS amabzo sometine zinaweza kuexpiree.