Yani ukisema mvulana napata picha ya katoto kamevaa kaptula afu imetoboka matakkoni
27 years wewe sio mvulana bana....
kazi hata mchwa wanazo sema unamiliki nini uone mvua ya pm ikikunyeshea sahivi
Sijapata PM yoyote toka jana baada ya kuweka Tangazo hapa la kumtafuta mchumba wa kike, sijui ni kwa sababu ya vigezo? ok, nalegeza,
Mimi ni mvulana miaka 27 nafanya kazi mwanza na elimu yangu ni ya chuo, natafuta mchumba wa kike ambaye atakuwa mke, awe na kazi yoyote halali na awe anaishi popote lakini ndani ya Tanzania hii. aliye tayari ani-PM .
Please awe serious tu.
Yaan kila nikifungua nyuzi natafuta kwanza post yako, huwa nacheka mpaka bhaaaaaaas, lol!

Duh! Shikamoo Evelyn..

Hii njia haitumiki siku hizi mkuu, we wafuate PM mmoja baada ya mwingine, wiki mbili nyingi utawapata wa kukutosha kama Hashim Lundenga na Miss Tanzania yake, huruuu unachagua tu. Ila kuwa makini na weka budget ya kutosha.