Nimekuwa single kwa mda mrefu now nahitaj rafiki wa kike ambaye yupo tayari kuwa mke wangu siku za baadaye. Awe mkristo(umri had 26) elimu yoyote ,aliyepo Mbeya ,Iringa na Dodoma atapewa kipaumbele bado nipo chuo.
Na aliye serious and pm,i real mean upweke sasa imetosha.