jana usiku nilikaa na kufikiria nikagundua kwamba wanaume waaminifu hapa maeneo ya morogoro tupo wachache sana. tugombanieni jamani.
michelle! bahati neva come twice. think! michelleHa ha ha haaaaaaaaaaaaaaa,kazi ipo,tugombanie wenye hela na waaminifu pia???umesikiwa,endelea kufikiria,utagundua mengi mwaka huu...........:laugh::laugh:
Habari yake morogoro......mm sitaki kugombaniwa.Hahahahahahhaha.....kizuri chajiuza kibaya chajitembeza!!!We unajitembeza!!!:roll:
Habari yake morogoro......mm sitaki kugombaniwa.
michelle! bahati neva come twice. think! michelle
Na kugombania je????Maana wengine tu adimu kama almasi!!!
hii ni abyuzi nyengine. ukiona wamekuban ujue nimereport mimi. apolojaiz kwa kiingereza kabla sjakasirika zaidiHahahahahahhaha.....kizuri chajiuza kibaya chajitembeza!!!We unajitembeza!!!:roll:
Mimi natangulia jamani,ndo naitwa hivyoooooo............wenye wivu wajinyonge.........
idea za honey moon
Mimi natangulia jamani,ndo naitwa hivyoooooo............wenye wivu wajinyonge.........
hii ni abyuzi nyengine. ukiona wamekuban ujue nimereport mimi. apolojaiz kwa kiingereza kabla sjakasirika zaidi
Michelle mambo yameshakaa sawa kilichobaki kumfunda huyoooooo bwana harusi mtarajiwa!!!Embu mhamishie kule kwenye thread yangu ya nyumba ndogo akajifunze kwamba akifuata maelezo ambayo sio rasmi utakua zaidi ya nyumba ndogo 10 kwa mpigo!!!
yote kasababisha michelle. yaani huyu michelle mtukutu sana walahi
wakuu mtasababisha sredi ihamishiwe jukwaa la wakubwa
wakuu mtasababisha sredi ihamishiwe jukwaa la wakubwa
Hashy njoo basi nikufunde.....
Mhhh...sasa wamsingizia Michelle.....!!!!
hii ni abyuzi nyengine. ukiona wamekuban ujue nimereport mimi. apolojaiz kwa kiingereza kabla sjakasirika zaidi