Wanaogopa maendeleo hao!Duuuh
Na kwa uchunguzi wangu JF imejaa mabinti wa kaskazin
sasa sijui itakuwaje ?!
Hommie bana mwenzako anatafuta mchumba we waleta mambo ya jina!Hilo jina la ID yako ndio linatamkwaje naomba unisaidie
JF wachaga tutailaumu kwa kutukosesha wachumba!:twitch:
Mkuu karibu Jamvini..., kweli unayo nia yaani first post.....:twitch:
Anyway Good Luck
Duuuh
Na kwa uchunguzi wangu JF imejaa mabinti wa kaskazin
sasa sijui itakuwaje ?!
Kilichokuvutia JF ni Hizi picha za Dada zetu ama ni Comments za watu hasa kwenye jukwaa la mapenzi?
anyway nakutakia kila Ra-Heri,
You sound good shemeji
Hilo jina la ID yako ndio linatamkwaje naomba unisaidie
hizo picha hata cjaziona(even though there most fakes)hizo comments hata cjazsoma,all i need is mke!.....lol....!
Embu weka yako ya ukweli ili tuone kama uko presentable ndo tutume maombi!!!!
Embu weka yako ya ukweli ili tuone kama uko presentable ndo tutume maombi!!!!