serious natafuta mchumba

sycobzetz

Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
7
Reaction score
2
natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mke na mama wa watoto wangu about age asizidi 25 yrs mambo mengine sijali cha msingi ni upendo wa dhati tu. atakaye guswa anicheki hapa 0687062616 au sycobzetz@gmail.com
 
Waambie kama unayo Tembo Card ili wajue.

Wachumba wa mitandaoni neno "vumilia" halipo kwenye kamusi yao.
 
Ndugu yangu wachuba wameenda kanisani ingekuwa vema ungewafuatilia huko kuliko ukawasubiri hapa,ukienda huko mungu anaweza akakusaidia kukuchagulia
 
Waambie kama unayo Tembo Card ili wajue.

Wachumba wa mitandaoni neno "vumilia" halipo kwenye kamusi yao.

mkuu verse yako ya mwisho imesimama big up na kwel kamus yao haina neno VUMILIA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…