Ombi langu kwa Mungu,ombi langu kwa baba nawewe ndugu ukumbukwe na Mungu,,kila siku zisogeapo nazidi kutambua kumbe adui yako ni wa karibu mno,awezaye kukuumiza moyo na kukuachia jeraha ni wa karibu mno,hata Yesu aliyemsaliti ni wa karibu mno,tunapomsoma habili aliyemuua ni wa karibu mno,tunapomsoma yusuph waliomuuza ni wa karibu mno,unaposikia mjane ama yatima kanyang'anywa aliyefanya hivyo ni wa karibu mno,njoo Yesu njoo tumebaki yatima,baba anaikimbia familia yake,mke wake hata huyo atakayempata atamuacha kwa kuwa ndiyo tabia yake oooooooooooooohhhaaaaaiiiiiiiiii eeeeeehhhhh Mungu tusamehe,wasamehe wazazi wetu aaaaaaahhhhhhhhhhoohhhhhhh ohhh Mungu baba tunatubu mbele zako kwa niaba ya wazazi wetu aaaahhhhhhhhhhoo hh baba