Serikali3

JEMA JEMA

Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
19
Reaction score
4
Hodi hodi jamani!
Nimekuwa nikitafakari na kujiuliza swali ila nakosa majibu sasa naomba msaada.
Tukiwa na serikali ya Zanzibar ofisi zake zitakuwa zanzbar na tukiwa tanganyika ofisi zake ztakuwa tanganyika, sasa je serikali ya tatu ofisi zake ztakuwa wap?
 
Katika ya nchi mbili hizi Dodoma

Tunaitaka Tanyanyika yetu
 
Zitakuwa kisiwa cha Chumbe mpaka baina ya Zanzibar na Tanganyika
 
JEMA JEMA
===>Njoo umuulize Mzee Six maana mwenyewe kaja kuomba POO kwa viongozi wa dini.
 
Last edited by a moderator:

wewe ni sawa na mtu anajisaidia pori lenye simba lkn anaangalia barabarani kuhakikisha hamna anayemona uku mgongo akiuacha porini. Baada ya kuhoji mambo ya mana unaongelea majengo? Eac ni nchi ngapi? Jengo la mikutano lipo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…