Hapa ndo mwanzo bibie, nathani muda sio mrefu watarudisha kama mwanzo, nathani Mungu wetu ametusikia sisi watoto wa wakulima maana tunadaiwa madeni ya nauli tulizokopa hadi leo kwa ajili ya hzo interview zao huko dar, mi nikisikia secretariat narukwa na akili hawa watu sio kabisa ni majanga.bado hawajakizi haja ze2,ata kada zngne pia wangeruhusu ni usumbufu sekretaliat
Hapa ndo mwanzo bibie, nathani muda sio mrefu watarudisha kama mwanzo, nathani Mungu wetu ametusikia sisi watoto wa wakulima maana tunadaiwa madeni ya nauli tulizokopa hadi leo kwa ajili ya hzo interview zao huko dar, mi nikisikia secretariat narukwa na akili hawa watu sio kabisa ni majanga.
Wengi wanao ichukia ni vigogo na watoto wao pia na wachache wasiojua thamani na umuhimu wa hiki chombo. Changamoto zipo na zinapaswa kurekebishwa na si kubadili sheria na kurudi kule kule tulipotoka ambapo wenzetu walikua wakipata kazi sie tunaambia nafasi za kazi hamna. Kwa unayechukia hiki chombo na hauna refa subiri hiki chombo kiondolewe utarudi hapa kulalamika na kulia mana hata kazi hutaona zikitangazwa wakati wenzako unasikia tu wamepta kazi. Naipenda Sekretarieti japo haijaninufaisha mimi binafsi.